Breaking New..
Taifa la China limetangaza Rasmi kuwa Marekani ndio Waliotengeneza Virusi vya Gonjwa la Corona...China imesisitiza kwamba "Corona" kamwe haiwezi kuzuia Taifa hilo kuzidi kupaa kiuchumi Duniani kwani Corona ndio kwanza imekoleza Moto wa kupaa kiuchumi maradufu na Marekani italiona hilo ktk siku za karibuni.
China ambayo kwa sasa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuidhibiti Corona imetuma kikosi cha Madaktari,vifaa na Dawa huko Italia kwenda kusaidia kumaliza Corona ambayo imeathiri zaidi Nchi hiyo ya Ulaya..China inakuwa Taifa la pili baada ya Iran kuishutumu Marekani kuhusiana na Corona.
#Kitaa live uotade..



No comments