KIMEWAKA UPINZANI KULIPA FAINI
CHADEMA kuwatoa gerezani viongozi wake walioshindwa kulipa faini
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema leo kimeanza mkakati wa kuwatoa viongozi wake wakuu waliopelekwa gerezani jana baada ya kushindwa kulipa faini ya shilingi milioni 350, kama ilivyoamuliwa na mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Viongozi hao akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walitiwa hatiana katika makosa 12 kati ya 13 yaliyokuwa yakiwakabili

No comments