KENYA: CORONAVIRUS YALETA HOFU, WATU WANUNUA MAHITAJI KWA WINGI

> Wakazi wa Nairobi wameingiwa na hofu baada ya mgonjwa wa Corona kuthibitika nchini humo

> Wameanza kununua mahitaji pamoja na vifaa vya kujikinga na Virusi vya Corona



Kitaa Live uptades...

No comments

Powered by Blogger.