ANAETUHUMIWA KUMUUA DADA WA KAZI AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mkami Shirima anaetuhumiwa kwa mauaji ya Salome Zacharia (aliekuwa msichana wake wa kazi) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Arumeru na kusomewa shtaka moja la mauaji.

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Amalia Mushi amesema mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo March 06 mwaka huu, kesi imeahirishwa hadi March 26, 2020.

Wanahabari pamoja na wananchi wamezuiwa kuingia ndani ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo hadi mtuhumiwa aliposomewa shtaka lake na kuondolewa Mahakamani hapo.

#KITAA LIVE UPTADES.. 

Subscribe chanel yetu ya YouTube ili kupata mazuri zaidi kila mara

Yajayo yanafurahisha...

No comments

Powered by Blogger.